Ijumaa. 23 Februari. 2024

Masomo

Masomo

Ijumaa ya 1 ya Kwaresima

Eze 18:21-28
Bwana asema hivi: Mtu mbaya akighairi, na kuacha dhambi zake zote alizozitenda, na kuzishika amri zangu zote, na kutenda yaliyo halali na haki hakika ataishi, hatakufa. Dhambi zake zote alizozitenda h...
Imependwa 0 Maoni

Masomo zaidi  »

Tafakari

Jumanne, Februari  13,  2024
Tafakari

Tafakari ya Jumanne, Februari 13, 2024

Jumanne, Februari 13, 2024, Juma la 6 la Mwaka wa Kanisa Yak 1:12-18 Zab 94:12-15.18-19; Mk 8: 14-21. CHACHU ULIMWENGUNI! Kila anaye andaa mkate anatambua jinsi ya chachu kidogo (Amir
Imependwa 0 Maoni
Jumatatu, Februari  12,  2024
Tafakari

Tafakari ya Jumatatu, Februari 12, 2024

Jumatatu, Februari 12, 2024 Juma la 6 la Mwaka wa Kanisa Yak 1:1-11; Zab 119: 67-68.71.75-76; Mk 8: 11-13 MIUJIZA KUTOKA MBINGUNI! Karibuni ndugu zangu kwa adhimisho la Misa Takatif
Imependwa 0 Maoni

Tafakari Zaidi  »