Jumamosi ya 16 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Yer 7:1-11Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 84:2-5, 7, 10Maskani zako zapendeza kama nini, ee Bwana wa majeshi
Nafsi yangu imezionea shauku nyua za Bwana,
Naam, na kuzikondea. Moyo wangu na mwili wangu Vinamlilia Mungu aliye hai.
K. Maskani zako zapendeza kama nini, ee Bwana wa majeshi
Shomoro naye ameona nyumba, Na mbayuwayu amejipatia kioto,
Alipoweka makinda yake, Kwenye madhabahu zako,
Ee Bwana wa majeshi, Mfalme wangu na Mungu wangu.
K. Maskani zako zapendeza kama nini, ee Bwana wa majeshi
Heri wakaao nyumbani mwako, Wanakuhimidi daima.
Heri ambaye nguvu zake zatoka kwako,
Huendelea toka nguvu hata nguvu,
K. Maskani zako zapendeza kama nini, ee Bwana wa majeshi
Hakika siku moja katika nyua zako Ni bora kuliko siku elfu.
Ningependa kuwa bawabu nyumbani mwa Mungu wangu, Kuliko kukaa katika hema za uovu.
K. Maskani zako zapendeza kama nini, ee Bwana wa majeshi
Shangilio la Injili
Yak 1:21bcPokea kwa upole neno lile lililopandwa ndani, liwezalo kuziokoa roho zenu.
Aleluya
Injili
Mt 13:24-30Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni