Ruka hadi maudhui
Mkatoliki Leo
Changia huduma

Saidia Mkatoliki Leo

Masomo ya Misa, tafakari, sala na historia za watakatifu kwa Kiswahili zinawafikia maelfu ya waamini kila siku, bure. Mchango wako, hata mdogo, unalipia seva, programu ya Shajara Pro na muda wa kuandaa maudhui.

Tuma kwenda namba

0753 137 339

Jina: Yethroy Ngaunje

Sasa fungua menyu ya pesa ya simu yako na ubandike namba.

Jinsi ya kutuma

  1. 1
    Fungua menyu ya pesa M-Pesa piga *150*00#, au tumia programu ya mtandao wako (M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money, HaloPesa).
  2. 2
    Chagua "Tuma Pesa" Kama hauko Vodacom, chagua kutuma kwenda mtandao mwingine / M-Pesa.
  3. 3
    Weka namba 0753 137 339 Bonyeza "Nakili namba" hapo juu, kisha ubandike.
  4. 4
    Weka kiasi na namba yako ya siri Kiasi chochote unachoweza: TSh 1,000, 5,000, 10,000…
  5. 5
    Hakikisha jina Kabla ya kuthibitisha, hakikisha jina linaloonekana ni Yethroy Ngaunje.

Baada ya kutuma

Tutumie jina lako kwa WhatsApp ili tukushukuru na kukuombea. Ukipenda kubaki bila kujulikana, hakuna shida.

Tuma ujumbe WhatsApp

"Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu." (2 Kor 9:7)
Asante, na Mungu akubariki.