Ruka hadi maudhui
Mkatoliki Leo
Kila siku

Tafakari

Tafakari juu ya masomo ya Misa Takatifu ya kila siku.

Jumatano, 21 Oktoba 2026 Ufuasi: Wito wa Kuwa Mwaminifu, Si Kwaajili ya Mafanikio! Uaminifu na ukweli ni mambo makuu matakatifu na mazuri kabisa yaliowekwa kama zawadi katika akili ya mwanadamu. Kuwa mwaminifu katika mambo madogo sana ni njia... Jumanne, 20 Oktoba 2026 Kuwa Mwepesi Kumkaribisha Yesu Karibuni ndugu zangu kwa tafakari ya neno la Bwana katika adhimisho la Misa Takatifu asubuhi ya leo. Leo basi tunaanza kwa kuiangalia zaburi yetu ya wimbo wa ka... Jumatatu, 19 Oktoba 2026 Kuwa Tajiri Kumwelekea Mungu! Katika somo la kwanza, Mt. Paulo, kwa barua yake kwa Waefeso, inatoa ufafanuzi mzuri kuhusu kazi ya Mungu ya ukombozi ndani ya Yesu Kristo, kwa mapendo yake kwa... Jumapili, 18 Oktoba 2026 Umisionari katika Moyo wa Imani ya Kikristo! Muktasari wa masomo yetu (Isaya 45:1.4-6) - Kurudi kwa wana Waisraeli kutoka utumwani chini ya mfalme Cyrus haionekani tu kama alama ya huruma ya Mungu kwa watu... Jumamosi, 17 Oktoba 2026 Imani Iliyo Jaribiwa! Nguvu na uwezo unajaribiwa zaidi ya kuwa na vyeti. Hii ni kweli pia katika Imani yetu. Sio wengi watakao simama katika kujaribiwa huku kwa Imani. Yesu analifaha... Ijumaa, 16 Oktoba 2026 Kutangaza Injili Bila Woga! Je, inakusumbua kuhusu wengine wana waza nini juu yako? Kwa namna unavyo vaa? Kwa namna unavyosema? Je, unashindwa kufanya kitu flani au kutokufanya kwasababu m... Alhamisi, 15 Oktoba 2026 Je Tuna Upana wa Akili katika Maisha Yetu? Ef 1:1-10; Zab 97:1-6; Lk 11:47-54 JE TUNA UPANA WA AKILI KATIKA MAISHA YETU? Injili ya leo inaongelea kuhusu kutokuelewana kati ya Yesu na viongozi wa dini wa... Jumatano, 14 Oktoba 2026 Kujizoesha Kutenda Fadhila! Karibuni ndugu zangu kwenye tafakari ya neno la Bwana asubuhi ya leo. Leo basi neno la Bwana linaanza kwa kuiangalia zaburi yetu ya wimbo wa katikati ambayo ina... Jumanne, 13 Oktoba 2026 Yesu Anayasema Yote kwa Uwazi Mafarisayo walijivuna nakujiona wao wenyewe kuwa wema na wasafi kwa kushika mapokeo na sheria. Waliigawa jamii katika makundi ya walio wema na walio wabaya, wak... Jumatatu, 12 Oktoba 2026 Uhuru wa Kweli Ndani ya Yesu! Karibuni ndugu zangu kwa adhimisho la Misa Takatifu asubuhi ya leo. Leo basi neno la Bwana linaanza kwa kuliangalia somo la kwanza ambapo tunakutana na ujumbe w...