Tafakari
Tafakari juu ya masomo ya Misa Takatifu ya kila siku.
Ijumaa, 30 Oktoba 2026
Kuwa na Huruma
Leo Yesu anwauliza Mafarisayo swali “je, ni kinyume cha sheria kumponya mtu siku ya Sabato?” Mafarisayo hawana jibu. Baada ya kumponya mtu aliyekuwa na ukoma, a...
Alhamisi, 29 Oktoba 2026
Kusali Bila Kuchoka!
Lengo la Barua kwa Waefeso ina lenga kujenga jumuiya ya Wakristo iliyo na upendo na umoja. Leo tuna maelekezo ya mwisho “salini nyakati zote daima katika Roho”....
Jumatano, 28 Oktoba 2026
Umoja katika Wingi !
Mungu humwalika mwanadamu daima katika kazi yake ya ukombozi. Yesu aliwachagua watu wa kawaida kabisa wa kipindi chake kuwa mitume wake. Anawapa nguvu na mamlak...
Jumanne, 27 Oktoba 2026
Ufalme wa Mungu-Upo na Bado Utakamilika
Katika somo la kwanza Mtume Paulo anaendelea na maelekezo yake kwa Waefeso jinsi ya kuenenda kama wafuasi wa Kristo na leo anaingia katika ngazi ya familia. Ana...
Jumatatu, 26 Oktoba 2026
Huruma ya Mungu!
Katika Injili ya Leo Yesu anamponya Mwanamke mmoja mgonjwa aliyekuwa na pepo kwa muda wa miaka kumi nane. Lakini cha kushangaza viongozi wa Sinagogi hawakufurah...
Jumapili, 25 Oktoba 2026
Upendo:alama ya Ufuasi wa Kikristo!
Masomo ya leo yanatualika tutafakari juu ya msingi wa maisha ya kila mfuasi wa Kristo yalipojengwa: upendo kwa Mungu na jirani. Wakati mwingine tunapotezwa kati...
Jumamosi, 24 Oktoba 2026
Thamani ya Wakati wa Sasa
Majanga au ajali katika maisha ya watu mara nyingi zinawafanya wajiulize maswali kama vile, kwanini? Au kwanini wao? Katika Injili ya leo Yesu anaeleza juu ya t...
Ijumaa, 23 Oktoba 2026
Kufafanua Alama za Nyakati Zetu!
Injili ya leo kutoka kwa Mt. Luka, inatuelezea ni kwa jinsi ghani watu wakipindi cha Yesu walivyokuwa wiweza kufafanua majira na nyakati zao, kutambua uso wa nc...
Alhamisi, 22 Oktoba 2026
Mungu ni Moto Unaopendezesha Vyote.
Yesu aliwashtuwa wafuasi wake pale aliposema kuwa amekuja kutupa moto na kusababisha mgawanyiko badala ya amani duniani. Je, ni aina gani ya moto ambao Yesu ali...