Ruka hadi maudhui
Mkatoliki Leo
Kila siku

Tafakari

Tafakari juu ya masomo ya Misa Takatifu ya kila siku.

Jumapili, 11 Oktoba 2026 Mwaliko Kwenye Karamu! Karamu ya harusi ni picha inayotumika katika Bibilia kuonesha upendo wa Mungu na wana Waisraeli. Katika mfano wa Injili, Bwana harusi ni Yesu, yeye ni Mwana, Bi... Jumamosi, 10 Oktoba 2026 Kubadili Mavazi! Karibuni ndugu zangu kwa adhimisho la Misa Takatifu asubuhi ya leo. Leo basi naomba tafakari yetu ianze kwa kuliangalia somo la kwanza ambapo tunakutana na mane... Ijumaa, 9 Oktoba 2026 Rozari: Tafakari na Sala Iliojikita katika Kristo ! Karibuni ndugu zangu kwenye tafakari ya neno la Mungu asubuhi ya leo. Leo basi katika tafakari ya neno Mungu, tunaanza kwa kuliangalia somo la kwanza ambapo tun... Alhamisi, 8 Oktoba 2026 Kuomba! Karibuni ndugu zangu kwa tafakari ya neno la Mungu asubuhi ya leo. Leo basi tunaanza kwa kuliangalia somo la kwanza; hapa tunakutana na Wagalatia wakikoromewa n... Jumatano, 7 Oktoba 2026 Namna ya Kusali Karibuni ndugu zangu kwa adhimisho la Misa Takatifu asubuhi ya leo. Leo basi neno la Bwana katika somo la kwanza tunakutana na Paulo akijieleza mbele ya Wagalat... Jumanne, 6 Oktoba 2026 Kumwelekea Yesu! Karibuni sana ndugu zangu wapendwa kwa adhimisho la Misa Takatifu asubuhi ya leo. Leo neno la Bwana naomba nianze tafakari yake kwa kuuangalia wimbo wetu wa kat... Jumatatu, 5 Oktoba 2026 Katika Jioni ya Maisha Yako Utachunguzwa Tu Juu ya Upendo “KATIKA JIONI YA MAISHA YAKO UTACHUNGUZWA TU JUU YA UPENDO” (Mt. Yohane wa Msalaba) Karibuni ndugu zangu kwa adhimisho la Misa Takatifu asubuhi ya leo. Leo basi... Jumapili, 4 Oktoba 2026 Yesu, Msingi wa Ukombozi Wetu! Akimuongelea Kristo ambaye ndiye jiwe kuu la Msingi ambalo lilikataliwa na waashi, Mathayo anasema “ambaye anaanguka juu ya jiwe hili, atavunjika vipande vipand... Jumamosi, 3 Oktoba 2026 Mungu wa Vitu Vidogo! Somo la kwanza leo linatueleza ni kwa jinsi ghani Mungu alivyo zibariki siku za mwisho za Ayubu zaidi hata ya zile za mwanzo. Na Ayubu aliamini kwamba Mungu ana... Ijumaa, 2 Oktoba 2026 Malaika –Ulinzi wa Mungu Kwetu Kanisa Katoliki linafundisha tunapaswa kukumbuka ni kwa jinsi ghani ilikuwa lengo la Mungu la kuwaweka malaika walinzi kwa ajili ya kuwalinda wanadamu na kuwaon...