Ijumaa baada ya Majivu
· Mwaka B · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Isa 58:1-9Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 51:3-4, 5-6a, 18-19Moyo uliovunjika na kupondeka, Ee Mungu, hutaudharau.
Maana nimejua mimi makosa yangu Na dhambi yangu i mbele yangu daima.
Nimekutenda dhambi Wewe peke yako,
Na kufanya maovu mbele za macho yako.
Wewe ujulikane kuwa una haki unenapo,
Na kuwa safi utoapo hukumu.
K. Moyo uliovunjika na kupondeka, Ee Mungu, hutaudharau.
Tazama, mimi naliumbwa katika hali ya uovu;
Mama yangu alinichukua mimba hatiani.
Tazama, wapendezwa na kweli iliyo moyoni;
K. Moyo uliovunjika na kupondeka, Ee Mungu, hutaudharau.
Uitendee mema Sayuni kwa radhi yako,
Uzijenge kuta za Yerusalemu.
Ndipo utakapopendezwa na dhabihu za haki,
Na sadaka za kuteketezwa, na kafara.
Ndipo watakapotoa ng'ombe Juu ya madhabahu yako.
K. Moyo uliovunjika na kupondeka, Ee Mungu, hutaudharau.
Shangilio la Injili
Ez. 18:31Injili
Mt 9:14-15Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni