Jumanne ya 2 ya Kwaresima
· Mwaka A
Somo la Kwanza
Isa 1:10, 16-20Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 50:8-9, 16-17, 21, 23Autengenezaye mwenendo wake, Nitamwonyesha wokovu wa Mungu.
Sitakukemea kwa ajili ya dhabihu zako,
Na kafara zako ziko mbele zangu daima.
Sitatwaa ng'ombe katika nyumba yako,
Wala beberu katika mazizi yako.
K. Autengenezaye mwenendo wake, Nitamwonyesha wokovu wa Mungu.
Una nini wewe kuitangaza sheria yangu,
Na kuliweka agano langu kinywani mwako?
Maana wewe umechukia maonyo,
Na kuyatupa maneno yangu nyuma yako.
K. Autengenezaye mwenendo wake, Nitamwonyesha wokovu wa Mungu.
Ndivyo ulivyofanya, nami nikanyamaza;
Ukadhani ya kuwa Mimi ni kama wewe. Walakini nitakukemea;
Nitayapanga hayo mbele ya macho yako.
Atoaye dhabihu za kushukuru, Ndiye anayenitukuza.
Naye autengenezaye mwenendo wake,
Nitamwonyesha wokovu wa Mungu.
K. Autengenezaye mwenendo wake, Nitamwonyesha wokovu wa Mungu.
Shangilio la Injili
Mt. 4:17Injili
Mt 23:1-2Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni