Jumatatu ya 2 ya Kwaresima
· Mwaka A
Somo la Kwanza
Dan 9:4-10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 79:8-9, 11, 13Usitutende sawasawa na hatia zetu, Ee Bwana
Usikumbuke juu yetu maovu ya baba zetu,
Rehema zako zije kutulaki hima,
Kwa maana tumedhilika sana.
K. Usitutende sawasawa na hatia zetu, Ee Bwana
Ee Mungu wa wokovu wetu, utusaidie,
Kwa ajili ya utukufu wa jina lako.
Utuokoe, utughofiri dhambi zetu,
Kwa ajili ya jina lako.
K. Usitutende sawasawa na hatia zetu, Ee Bwana
Kuugua kwake aliyefungwa Na kuingie mbele zako.
Kwa kadiri ya uweza wa mkono wako Uwahifadhi wana wa mauti.
Na sisi tulio watu wako, Na kondoo za malisho yako, Tutakushukuru milele;
Tutazisimulia sifa zako kizazi kwa kizazi.
K. Usitutende sawasawa na hatia zetu, Ee Bwana
Shangilio la Injili
Mt. 4:4Injili
Lk 6:36-38Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni