Jumanne ya 1 ya Majilio
· Mwaka A
Somo la Kwanza
Isa 11:1-10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 72:1-2, 7-8, 12-13, 17Siku zake yeye, mtu mwenye haki atasitawi na wingi wa Amani kwa milele.
Ee Mungu, mpe mfalme hukumu zako,
Na mwana wa mfalme haki yako.
Atawaamua watu wako kwa haki,
Na watu wako walioonewa kwa hukumu.
K. Siku zake yeye, mtu mwenye haki atasitawi na wingi wa Amani kwa milele.
Siku zake yeye, mtu mwenye haki atasitawi,
Na wingi wa amani hata mwezi utakapokoma.
Na awe na enzi toka bahari hata bahari,
Toka Mto hata miisho ya dunia.
K. Siku zake yeye, mtu mwenye haki atasitawi na wingi wa Amani kwa milele.
Kwa maana atamkomboa mhitaji aliapo,
Na mtu aliyeonewa iwapo hana msaidizi.
Atamhurumia aliye dhaifu na maskini,
Na nafsi za wahitaji ataziokoa.
K. Siku zake yeye, mtu mwenye haki atasitawi na wingi wa Amani kwa milele.
Jina lake na lidumu milele, Pindi ling'aapo jua jina lake liwe na wazao;
Mataifa yote na wajibariki katika yeye, Na kumwita heri.
K. Siku zake yeye, mtu mwenye haki atasitawi na wingi wa Amani kwa milele.
Shangilio la Injili
ShangilioTazama Bwana wetu atakuja na nguvu, na atayaangaza macho ya watumishi wake.
Aleluya.
Injili
Lk 10:21-24Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni