Sherehe ya Kupalizwa Mbinguni Bikira Maria
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Ufu 11:19, 12:1-6, 10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 45:9-11, 15Mkono wako wa kuume amesimama malkia, amevaa dhahabu ya Ofiri
Binti za wafalme wamo Miongoni mwa akina bibi wako wastahiki.
Mkono wako wa kuume amesimama malkia Amevaa dhahabu ya Ofiri.
K. Mkono wako wa kuume amesimama malkia, amevaa dhahabu ya Ofiri
Sikia, binti, utazame, utege sikio lako,
Uwasahau watu wako na nyumba ya baba yako.
K. Mkono wako wa kuume amesimama malkia, amevaa dhahabu ya Ofiri
Naye mfalme atautamani uzuri wako,
Maana ndiye bwana wako, nawe umsujudie.
K. Mkono wako wa kuume amesimama malkia, amevaa dhahabu ya Ofiri
Watapelekwa kwa furaha na shangwe,
Na kuingia katika nyumba ya mfalme.
K. Mkono wako wa kuume amesimama malkia, amevaa dhahabu ya Ofiri
Somo la Pili
1 Kor 15:20-26Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
.Injili
Lk 1:39-56Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni