Dominika ya 20 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Yer 38:4-6, 8-10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 48:1-3, 17Ee Bwana unisaidie hima
Nalimngoja Bwana kwa saburi,
Akaniinamia akakisikia kilio changu.
K. Ee Bwana unisaidie hima
Akanipandisha toka shimo la uharibifu, Toka udongo wa utelezi;
Akaisimamisha miguu yangu mwambani, Akaziimarisha hatua zangu.
K. Ee Bwana unisaidie hima
Akatia wimbo mpya kinywani mwangu, Ndio sifa zake Mungu wetu.
Wengi wataona na kuogopa, Nao watamtumaini Bwana
K. Ee Bwana unisaidie hima
Nami ni maskini na mhitaji, Bwana atanitunza.
Ndiwe msaada wangu na mwokozi wangu,
Ee Mungu wangu, usikawie.
K. Ee Bwana unisaidie hima
Somo la Pili
Ebr 12:1-4Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Lk 19:38Ndiye Mbarikiwa Mfalme ajaye kwa jina la Bwana; Amani mbinguni na utukufu huko juu.
Aleluya
Injili
Lk 12:49-53Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni