Jumatatu ya 16 Mwaka C
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Mik 6:1-4, 6-8Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 50:5-6, 8-9, 16-17, 21, 23Nitamwonyesha wokovu wa Mungu
Nikusanyieni wacha Mungu wangu Waliofanya agano nami kwa dhabihu.
Na mbingu zitatangaza haki yake, Kwa maana Mungu ndiye aliye hakimu.
K. Nitamwonyesha wokovu wa Mungu
Sitakukemea kwa ajili ya dhabihu zako, Na kafara zako ziko mbele zangu daima.
Sitatwaa ng'ombe katika nyumba yako, Wala beberu katika mazizi yako.
K. Nitamwonyesha wokovu wa Mungu
Una nini wewe kuitangaza sheria yangu, Na kuliweka agano langu kinywani mwako?
Maana wewe umechukia maonyo, Na kuyatupa maneno yangu nyuma yako.
K. Nitamwonyesha wokovu wa Mungu
Ndivyo ulivyofanya, nami nikanyamaza; Ukadhani ya kuwa Mimi ni kama wewe.
Walakini nitakukemea; Nitayapanga hayo mbele ya macho yako.
Atoaye dhabihu za kushukuru, Ndiye anayenitukuza.
Naye autengenezaye mwenendo wake, Nitamwonyesha wokovu wa Mungu.
K. Nitamwonyesha wokovu wa Mungu
Shangilio la Injili
Zab 95:8Ikiwa leo Mwasikia sauti yake, Msifanye migumu mioyo yenu;
Aleluya
Injili
Mt 12:38-42Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni