Jumamosi ya 15 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Mik 2:1-5Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 10:1-4, 7-8, 14Usiwasahau wanyonge, ee Bwana.
Ee Bwana, kwa nini wasimama mbali? Kwani kujificha nyakati za shida?
Kwa kiburi chake asiye haki mnyonge anafuatiwa kwa ukali;
Na wanaswe kwa hila zizo hizo walizoziwaza.
K. Usiwasahau wanyonge, ee Bwana.
Maana mdhalimu hujisifia tamaa ya nafsi yake, Na mwenye choyo humkana Bwana na kumdharau.
Mdhalimu kwa kiburi cha uso wake Asema, Hatapatiliza. Jumla ya mawazo yake ni, Hakuna Mungu;
K. Usiwasahau wanyonge, ee Bwana.
Kinywa chake kimejaa laana, Na hila na dhuluma.
Chini ya ulimi wake kuna madhara na uovu,
Hukaa katika maoteo ya vijiji.
Mahali pa siri humwua asiye na hatia, Macho yake humvizia mtu duni.
K. Usiwasahau wanyonge, ee Bwana.
Umeona, maana unaangalia madhara na jeuri, Uyatwae mkononi mwako.
Mtu duni hukuachia nafsi yake, Maana umekuwa msaidizi wa yatima.
K. Usiwasahau wanyonge, ee Bwana.
Shangilio la Injili
2 Kor 5:19Mungu alikuwa ndani ya Kristo, akiupatanisha ulimwengu na nafsi yake.
Aleluya
Injili
Mt 12:14-21Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni