Jumatano ya 7 ya Pasaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Mdo 20:28-38Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 68:28-29, 32-35Ee Mungu, uziamuru nguvu zako; Ee Mungu, uwe hodari uliyetufanyia makuu.
Kwa ajili ya hekalu lako Yerusalemu Wafalme watakuletea hedaya.
(K)E nyi falme za dunia, mwimbieni Mungu
Enyi falme za dunia, mwimbieni Mungu, Msifuni Bwana kwa nyimbo.
Apandaye mbingu za mbingu za tangu milele; Aitoa sauti yake, sauti ya nguvu.
Mhesabieni Mungu nguvu;
(K)E nyi falme za dunia, mwimbieni Mungu
Enzi yake i juu ya Israeli; Na nguvu zake zi mawinguni.
Mungu ni mwenye kutisha Kutoka patakatifu pako.
Ndiye Mungu wa Israeli; Yeye huwapa watu wake nguvu na uwezo.
(K)E nyi falme za dunia, mwimbieni Mungu
Shangilio la Injili
Yn 17:17b-17aNeno lako Ee Bwana ndiyo kweli, Ututakase kwa hiyo kweli
Aleluya.
Injili
Yn 17:11-19Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni