Jumanne ya 7 ya Pasaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Mdo 20:17-27Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 68:9-10, 19-20Ee Mungu, ulinyesha mvua ya neema; Urithi wako ulipochoka uliutia nguvu.
Kabila yako ilifanya kao lake huko; Ee Mungu, kwa wema wako uliwaruzuku walioonewa.
(K)Enyi falme za dunia, Mwimbieni Mungu
Na ahimidiwe Bwana, Siku kwa siku hutuchukulia mzigo wetu; Mungu ndiye wokovu wetu.
Mungu kwetu sisi ni Mungu wa kuokoa; Na njia za kutoka mautini zina YEHOVA Bwana.
(K)Enyi falme za dunia, Mwimbieni Mungu
Shangilio la Injili
Yn 14:16Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine, ili akae nanyi hata milele
Aleluya.
Injili
Yn 17:1-11aInjili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni