Ijumaa ya 3 ya Kwaresima
· Mwaka B · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Hos. 14:1-9Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 81:6-10, 13, 16Mimi ndimi Bwana Mungu wako, Sikiliza sauti yangu.
Maneno yake nisiyemjua naliyasikia.
Nimelitenga bega lake na mzigo,
Mikono yake ikaachana na kikapu.
Katika shida uliniita nikakuokoa.
K. Mimi ndimi Bwana Mungu wako, Sikiliza sauti yangu.
Nalikuitikia katika sitara ya radi;
Nalikujaribu penye maji ya Meriba.
Enyi watu wangu, sikieni, nami nitawaonya,
Ee Israeli, kama ukitaka kunisikiliza.
K. Mimi ndimi Bwana Mungu wako, Sikiliza sauti yangu.
Usiwe na mungu mgeni ndani yako;
Wala usimsujudie mungu mwingine.
Mimi ndimi Bwana, Mungu wako,
Niliyekupandisha toka nchi ya Misri.
K. Mimi ndimi Bwana Mungu wako, Sikiliza sauti yangu.
Laiti watu wangu wangenisikiliza,
Na Israeli angeenenda katika njia zangu;
Naam, ningewalisha kwa unono wa ngano,
Ningewashibisha kwa asali itokayo mwambani.
K. Mimi ndimi Bwana Mungu wako, Sikiliza sauti yangu.
Shangilio la Injili
Zab. 95:7, 8Lakini msikie sauti yake Bwana.
Injili
Mk. 12:28-34Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni