Ijumaa ya 4 ya Kwaresima
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Hek 2:1, 12-22Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 34:16-20, 22Uso wa Bwana ni juu ya watenda mabaya, Aliondoe kumbukumbu lao duniani.
Walilia, naye Bwana akasikia, Akawaponya na taabu zao zote.
(K)Bwana yu karibu nao waliovunjika moyo
Bwana yu karibu nao waliovunjika moyo, Na waliopondeka roho huwaokoa.
Mateso ya mwenye haki ni mengi, Lakini Bwana humponya nayo yote.
(K)Bwana yu karibu nao waliovunjika moyo
Huihifadhi mifupa yake yote, Haukuvunjika hata mmoja.
Bwana huzikomboa nafsi za watumishi wake, Wala hawatahukumiwa wote wamkimbiliao.
(K)Bwana yu karibu nao waliovunjika moyo
Injili
Yn 7:1-2, 10, 25-30Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni