Kumbukumbu ya Bikira Maria, Malkia na Mama Yetu
· Mwaka A · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Eze 43:1–7Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 85:8–13Utukufu wa Bwana ukae katika nchi yetu.
Na nisikie atakavyosema Mungu Bwana,
Maana atawaambia watu wake Amani,
Naam, na watauwa wake pia,
Bali wasiurudie upumbavu tena.
Hakika wokovu wake u karibu na wamchao,
Utukufu ukae katika nchi yetu.
K. Utukufu wa Bwana ukae katika nchi yetu.
Fadhili na kweli zimekutana,
Haki na Amani zimebusiana.
Kweli imechipuka katika nchi,
Haki imechungulia kutoka mbinguni.
K. Utukufu wa Bwana ukae katika nchi yetu.
Naam, Bwana atatoa kilicho chema,
Na nchi yentu itakwenda mbele zake.
Nayo itazifanya hatua zake kuwa njia.
K. Utukufu wa Bwana ukae katika nchi yetu.
Shangilio la Injili
Zab 119:105Neno lako ni taa ya miguu yangu, na mwanga wa njia yangu.
Aleluya.
Injili
Mt 23:1–12Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni