Dominika ya 21 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Isa 22:19-23Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 138: 1-3, 6, 9Ee Bwana, fadhili zako ni za milele, Usiziache kazi za mikono yako.
Nitakushukuru kwa moyo wangu wote,
Mbele ya miungu nitakuimbia zaburi.
Nitasujudu nikilikabili hekalu lako takatifu.
K. Ee Bwana, fadhili zako ni za milele, Usiziache kazi za mikono yako.
Nitalishukuru jina lako,
Kwa ajili ya fadhili zako na uaminifu wako,
Kwa maana umeikuza ahadi yako,
Kuliko jina lako lote.
Siku ile niliyokuita ulinitikia,
Ukanifariji nafsi kwa kunitia nguvu.
K. Ee Bwana, fadhili zako ni za milele, Usiziache kazi za mikono yako.
Ingawa Bwana yuko juu, amwona mnyenyekevu,
Naye amjua mwenye kujivuna tokea mbali.
Ee Bwana, fadhili zako ni za milele;
Usiziache kazi za mikono yako.
K. Ee Bwana, fadhili zako ni za milele, Usiziache kazi za mikono yako.
Somo la Pili
Rum 11:33-36Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Mt 11:25Nakushukuru, Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na akili. ukawafunulia watoto wachanga.
Aleluya
Injili
Mt 16:13-20Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
Godson Malaika · 23 Agosti 2026
Kritu? mkovizur sana ila injili yaleo imekosea hapa ambapo nimeweka mabano sjajua mtandao au kifaa cha kuandikia 'Bali baba (vangu) alie mbinguni'