Ijumaa ya 18 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Nah 1:15; 2:2; 3:1-3, 6-7Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Kumb 32:35-36, 39, 41Naua mimi, nahuisha mimi
Kisasi ni changu mimi, na kulipa, Wakati itakapoteleza miguu yao;
Maana siku ya msiba wao imekaribia, Na mambo yatakayowapata yatafanya haraka.
Kwa kuwa Bwana atawaamua watu wake, Atawahurumia watumwa wake,
K. Naua mimi, nahuisha mimi
Fahamu sasa ya kuwa Mimi, naam, Mimi ndiye, Wala hapana Mungu mwingine ila Mimi;
Naua Mimi, nahuisha Mimi, Nimejeruhi, tena naponya; Wala hapana awezaye kuokoa katika mkono wangu,
K. Naua mimi, nahuisha mimi
Nikiunoa upanga wangu wa umeme, Mkono wangu ukishika hukumu,
Nitawatoza kisasi adui zangu, Nitawalipa wanaonichukia.
K. Naua mimi, nahuisha mimi
Shangilio la Injili
Lk 8:15Wanabarikiwa wale ambao kwa unyofu na wema wa mioyo yao hulisikia neno la Mungu.
Aleluya.
Injili
Mt 16:24-28Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
Egrasius Salvatory · 7 Agosti 2026
Amina