Sikukuu ya Kung'aa Bwana Wetu Yesu Kristu
· Mwaka A
Somo la Kwanza
Dan 7:9-10, 13-14Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 97:1-2, 5-6, 9Bwana ametamalaki, nchi na ishangilie, Visiwa vingi na vifurahi.
Mawingu na giza vyamzunguka, Haki na hukumu ndio msingi wa kiti chake.
(K)Bwana ni Mfalme, aliye juu sana kuliko nchi yote;
Milima iliyeyuka kama nta mbele za Bwana, Mbele za Bwana wa dunia yote.
Mbingu zimetangaza haki yake, Na watu wote wameuona utukufu wake.
(K)Bwana ni Mfalme, aliye juu sana kuliko nchi yote;
Maana Wewe, Bwana, ndiwe Uliye juu, Juu sana kuliko nchi yote;
Umetukuka sana juu ya miungu yote.
(K)Bwana ni Mfalme, aliye juu sana kuliko nchi yote;
Somo la Pili
2 Pet 1:16-19Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Mt 17:5cHuyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye; msikieni yeye.
Aleluya
Injili
Mt 17:1-9Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni