Jumamosi ya 20 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Rut 2:1-3, 8-11; 4:13-17Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 128:1 – 5Tazama, atabarikiwa hivyo, yule amchaye Bwana.
Heri kila mtu amchaye Bwana,
Aendaye katika njia yake.
Taabu ya mikono yako hakika utaila;
Utakuwa heri, na kwako kwema.
K. Tazama, atabarikiwa hivyo, yule amchaye Bwana.
Mkeo atakuwa kama mzabibu uzaao,
Vyumbani mwa nyumba yako.
Wanao kama miche ya mizeituni
Wakiizunguka meza yako.
K. Tazama, atabarikiwa hivyo, yule amchaye Bwana.
Tazama, atabarikiwa hivyo, yule amchaye Bwana.
Bwana akubariki toka Sayuni;
Uone uheri wa Yerusalemu siku zote za maisha yako.
K. Tazama, atabarikiwa hivyo, yule amchaye Bwana.
Shangilio la Injili
Zab 119:28, 33Unitie nguvu sawasa na neno lako, ee Bwana,
unifundishe njia ya amri zako.
Aleluya.
Injili
Mt 23:1-12Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni