Ijumaa ya 20 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Rut 1:1,3-6, 14-16, 22Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 146:5-10Ee nafsi yangu, umsifu Bwana.
Heri ambaye Mungu wa Yakobo ni msaada wake,
Na tumaini lake ni kwa Bwana, Mungu wake,
Aliyezifanya mbingu na nchi,
Bahari na vitu vyote vilivyomo.
K. Ee nafsi yangu, umsifu Bwana.
Huishika kweli milele,
Huwafanyia hukumu walioonewa,
Huwapa wenye njaa chakula;
Bwana hufungua waliofungwa;
K. Ee nafsi yangu, umsifu Bwana.
Bwana huwafumbua macho waliopofuka;
Bwana huwainua walioinama;
Bwana huwapenda wenye haki;
Bwana huwahifadhi wageni;
K. Ee nafsi yangu, umsifu Bwana.
Huwategemeza yatima na mjane;
Bali njia ya wasio haki huipotosha.
Bwana atamiliki milele, Mungu wako,
Ee Sayuni, kizazi hata kizazi. Haleluya.
K. Ee nafsi yangu, umsifu Bwana.
Injili
Mt 22:34-40Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (3)
Boniface Jelemia · 22 Agosti 2025
Katika injili ya mt inatufundisha tumpende mungu wetu tumtumikie tupate kufika kwake mbinguni tusiwatendee wenzetu ubaya bali tupendane na mwisho sisi sote tufike kwake juu mbinguni