Dominika ya 4 ya Pasaka
· Mwaka C · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mdo 13:14, 43-52Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 100: 1-3, 5Tu watu wake, na kondoo wa malisho yake.
Mfanyieni Bwana shangwe, dunia yote;
Mtumikieni Bwana kwa furaha;
Njoni mbele zake kwa kuimba;
K. Tu watu wake, na kondoo wa malisho yake.
Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu;
Ndiye aliyetuumba na sisi tu watu wake;
Tu watu wake, na kondoo wa malisho yake.
K. Tu watu wake, na kondoo wa malisho yake.
Kwa kuwa Bwana ndiye mwema;
Rehema zake ni za milele;
Na uaminifu wake vizazi na vizazi.
K. Tu watu wake, na kondoo wa malisho yake.
Somo la Pili
Ufu 7:9,14b-17Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 10:14Mimi ndimi mchungaji mwema; Nao walio wangu nawajua; nao walio wangu wanijua mimi.
Aleluya
Injili
Yn 10:27-30Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
Redi Nguluvala · 11 Mei 2025
Maoni yangu mm redi nguluvala, mtumage na somo la maombi. Kwa sababu kuna siku ninaweza nika sina mudi ya kwenda kanisani nikaamu kuingia tu online na nikaweza kusoma somo la 1, somo la 2, somo la injili pamoja na maombi. Na dominika hiyo ikawa njema kwangu. Ahsante, nawatakie juma pili njema wakatoliki wote.