Dominika ya 19 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
1 Fal 19:4-8Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 34:1-8Onjeni mwone ya kuwa Bwana yu mwema.
Nitamhimidi Bwana kila wakati,
Sifa zake zi kinywani mwangu daima.
Katika Bwana nafsi yangu itajisifu,
Wenyenyekevu wasikie wakafurahi.
K. Onjeni mwone ya kuwa Bwana yu mwema.
Mtukuzeni Bwana pamoja nami,
Na tuliadhimishe jina lake pamoja.
Nalimtafuta Bwana akanijibu,
Akaniponya na hofu zangu zote.
K. Onjeni mwone ya kuwa Bwana yu mwema.
Wakamwelekea macho wakatiwa nuru,
Wala nyuso zao hazitaona haya.
Maskini huyu aliita, Bwana akasikia,
Akamwokoa na taabu zake zote.
K. Onjeni mwone ya kuwa Bwana yu mwema.
Malaika wa Bwana hufanya kituo,
Akiwazungukia wamchao na kuwaokoa.
Onjeni mwone ya kuwa Bwana yu mwema;
Heri mtu yule anayemtumnini.
K. Onjeni mwone ya kuwa Bwana yu mwema.
Somo la Pili
Efe 4: 30 – 5: 2Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 6 : 63, 68Bwana, maneno yako ni roho tena ni uzima; Wewe unayo maneno ya uzima wa milele.
Aleluya.
Injili
Yn 6: 41-51Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni