Jumamosi ya 2 ya Noeli
· Mwaka B · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
1Yoh 5:5-6, 8-13Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 147:12-15, 19-20Msifu Bwana, Ee Yerusalemu.
Msifu Bwana, Ee Yerusalemu;
Msifu Mungu wako, Ee Sayuni.
Maana ameyakaza mapingo ya malango yako,
Amewabariki wanao ndani yako.
K. Msifu Bwana, Ee Yerusalemu.
Ndiye afanyaye amani mipakani mwako,
Akushibishaye kwa unono wa ngano.
Huipeleka amri yake juu ya nchi;
Neno lake lapiga mbio sana.
K. Msifu Bwana, Ee Yerusalemu.
Humhubiri Yakobo neno lake,
Na Israeli amri zake na hukumu zake.
Hakulitendea taifa lolote mambo kama hayo,
Wala hukumu zake hawakuzijua.
K. Msifu Bwana, Ee Yerusalemu.
Injili
Mk 1:7-11Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
cosmas nyulahe · 6 Januari 2024
Tumsifu yesu kristo .! napenda kuwakumbusha kwamb katka somo la leo, utatu mtakatifu ni, mungu baba, mungu mwana na mungu roho mtakatifu. amina