Dominika ya 4 ya Majilio
· Mwaka B · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
2Sam 7: 1-5, 8-11, 16Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 89: 1-4, 26, 28Fadhili za BWANA nitaziimba milele
Fadhili za BWANA nitaziimba milele;
Kwa kinywa changu nitavijulisha vizazi vyote uaminifu wako.
Maana nimesema,
Fadhili zitajengwa milele;
Katika mbingu utauthibitisha uaminifu wako.
K. Fadhili za BWANA nitaziimba milele
Nimefanya agano na mteule wangu,
Nimemuapia Daudi, mtumishi wangu.
Wazao wako nitawafanya imara milele,
Nitakijenga kiti chako cha enzi hata milele.
K. Fadhili za BWANA nitaziimba milele
Yeye ataniita, Wewe baba yangu,
Mungu wangu na mwamba wa wokovu wangu.
Hata milele nitamwekea fadhili zangu,
Na agano langu litafanyika amini kwake.
K. Fadhili za BWANA nitaziimba milele
Somo la Pili
Rum 16:25-27Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Lk 1:38Mariamu akasema, Tazama mimi ni mjakazi wa Bwana; Na iwe kwangu kama ulivyosema. Kisha malaika akaondoka akaenda zake
Aleluya
Injili
Lk 1:26-38Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni