Dominika ya 33 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mit 31:10-13, 19-20, 30-31Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 128:1-5Taabu ya mikono yako hakika utaila.
Heri kila mtu amchaye Bwana,
Aendaye katika njia yake.
Heri yao wale wamchao Bwana,
Utakuwa mwenye heri na Baraka tele.
K. Taabu ya mikono yako hakika utaila.
Mkeo atakuwa kama mzabibu uzaao,
Vyumbani mwa nyumba yako.
Wanao kama miche ya mizeituni,
Wakiizunguka meza yao.
K. Taabu ya mikono yako hakika utaila.
Tazama, atabarikiwa hivyo, yule amchaye Bwana,
Bwana akubariki toka Sayuni,
Uone uheri wa Yerusalemu
Siku zote za maisha yako.
K. Taabu ya mikono yako hakika utaila.
Somo la Pili
1The 5:1-6Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Mt 24:42, 44Kesheni basin a kujiweka tayari, kwa maana hamjui saa atakayokuja, Mwana wa Adamu.
Aleluya.
Injili
Mt 25:14–30Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni