Dominika ya 28 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Isa 25:6-10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 23Nami nitakaa nyumbani mwa Bwana milele
Bwana ndiye mchungaji wangu,
Sitapungukiwa na kitu.
Katika malisho ya majani mabichi hunilaza,
Kando ya maji ya utulivu huniongoza.
Hunihuisha nafsi yangu;
K. Nami nitakaa nyumbani mwa Bwana milele
Huniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake.
Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti,
Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami,
Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.
K. Nami nitakaa nyumbani mwa Bwana milele
Waandaa meza mbele yangu,
Machoni pa watesi wangu.
Umenipaka mafuta kichwani pangu,
Na kikombe changu kinafurika.
K. Nami nitakaa nyumbani mwa Bwana milele
Hakika wema na fadhili zitanifuata Siku zote za maisha yangu;
Nami nitakaa nyumbani mwa Bwana milele.
K. Nami nitakaa nyumbani mwa Bwana milele
Somo la Pili
Flp 4:12-14, 19-20Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 14:6Mimi ndimi Njia, na Ukweli, na Uzima, asema Bwana; Mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi
Aleluya
Injili
Mt 22:1-14Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni