Sherehe ya Watakatifu wote
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Ufu 7:2-4, 9-14Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 24:1-6Hiki ndicho kizazi cha wakufuatao, Ee Bwana
Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana,
Dunia na wote wakaao ndani yake.
Maana ameiweka misingi yake juu ya bahari,
Na juu ya mito ya maji aliithibitisha.
K. Hiki ndicho kizazi cha wakufuatao, Ee Bwana
Ni nani atakayepanda katika mlima wa Bwana?
Ni nani atakayesimama katika patakatifu pake?
Mtu aliye na mikono safi na moyo mweupe,
Asiyeiinua nafsi yake kwa ubatili, Wala hakuapa kwa hila.
K. Hiki ndicho kizazi cha wakufuatao, Ee Bwana
Atapokea baraka kwa Bwana,
Na haki kwa Mungu wa wokovu wake.
Hiki ndicho kizazi cha wamtafutao,
Wakutafutao uso wako, Ee Mungu wa Yakobo.
K. Hiki ndicho kizazi cha wakufuatao, Ee Bwana
Somo la Pili
1 Yoh 3:1-3Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Injili
Mt 5:1-12Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni