Jumatatu ya 31 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Fil 2:1-4Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 131:Moyo wangu uwe na amani kwako, Ee Bwana
Bwana, moyo wangu hauna kiburi,
Wala macho yangu hayainuki.
Wala sijishughulishi na mambo makuu,
Wala na mambo yashindayo nguvu zangu.
K. Moyo wangu uwe na amani kwako, Ee Bwana
Hakika nimeituliza nafsi yangu, Na kuinyamazisha.
Kama mtoto aliyeachishwa Kifuani mwa mama yake;
Kama mtoto aliyeachishwa,
Ndivyo roho yangu ilivyo kwangu.
K. Moyo wangu uwe na amani kwako, Ee Bwana
Ee Israeli, umtarajie Bwana, Tangu leo na hata milele.
K. Moyo wangu uwe na amani kwako, Ee Bwana
Shangilio la Injili
Zab. 130:5Roho yangu inamngoja Bwana, na neno lake nimelitumainia.
Aleluya.
Injili
Lk 14:12-14Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni