Jumamosi ya 17 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Law 25:1,8-17Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 67:1-2, 4- 6-7Watu na wakushukuru, Ee Mungu, Watu wote na wakushukuru.
Mungu na atufadhili na kutubariki,
Na kutuangazia uso wake.
Njia yake ijulikane duniani,
Wokovu wake katikati ya mataifa yote.
K. Watu na wakushukuru, Ee Mungu, Watu wote na wakushukuru.
Mataifa na washangilie,
Naam, waimbe kwa furaha,
Maana kwa haki utawahukumu watu,
Na kuwaongoza mataifa walioko duniani.
K. Watu na wakushukuru, Ee Mungu, Watu wote na wakushukuru.
Nchi imetoa mazao yake;
Mungu, Mungu wetu, ametubariki.
Mungu atatubariki sisi;
Miisho yote ya dunia itamcha Yeye.
K. Watu na wakushukuru, Ee Mungu, Watu wote na wakushukuru.
Shangilio la Injili
Zab 25:4,5Ee Bwana, unijulishe njia zako, unifundishe mapito yako.
Aleluya.
Injili
Mt 14:1–12Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni