Jumamosi ya 29 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Efe 4:7-16Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 122:1-5Nalifurahi waliponiambia, na twende nyumbani kwa Bwana.
Nalifurahi waliponiambia, Na twende nyumbani kwa Bwana.
Miguu yetu imesimama Ndani ya malango yako, Ee Yerusalemu.
K. Nalifurahi waliponiambia, na twende nyumbani kwa Bwana.
Ee Yerusalemu uliyejengwa Kama mji ulioshikamana,
Huko ndiko walikopanda kabila, Kabila za Bwana;
K. Nalifurahi waliponiambia, na twende nyumbani kwa Bwana.
Ushuhuda kwa Israeli, Walishukuru jina la Bwana.
Maana huko viliwekwa viti vya hukumu,
Viti vya enzi vya mbari ya Daudi.
K. Nalifurahi waliponiambia, na twende nyumbani kwa Bwana.
Shangilio la Injili
2Tim. 1:10Mwokozi wetu Yesu Kristo alibatili mauti, na kuufunua uzima na kutokuharibika kwa Injili.
Aleluya.
Injili
Lk 13:1-9Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni