Jumatatu ya 28 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Gal 4:22-24, 26-27, 31;5:1Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 113:1-7Jina la Bwana lihimidiwe milele.
Aleluya. Enyi watumishi wa Bwana,
sifuni, Lisifuni jina la Bwana.
Jina la Bwana lihimidiwe Tangu leo na hata milele.
K. Jina la Bwana lihimidiwe milele.
Toka maawio ya jua hata machweo yake Jina la Bwana husifiwa.
Bwana ni mkuu juu ya mataifa yote, Na utukufu wake ni juu ya mbingu.
K. Jina la Bwana lihimidiwe milele.
Ni nani aliye mfano wa Bwana,
Mungu wetu aketiye juu;
Anyenyekeaye kutazama, Mbinguni na duniani?
Humwinua mnyonge kutoka mavumbini,
Na kumpandisha maskini kutoka jaani.
K. Jina la Bwana lihimidiwe milele.
Injili
Lk 11:29-32Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni