Dominika ya 28 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
2 Fal 5:14-17Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 98:1-4Bwana ameufunua wokovu wake machoni pa mataifa
Mwimbieni Bwana wimbo mpya,
Kwa maana ametenda mambo ya ajabu.
Mkono wa kuume wake wenyewe,
Mkono wake mtakatifu umetenda wokovu
K. Bwana ameufunua wokovu wake machoni pa mataifa
Bwana ameufunua wokovu wake,
Machoni pa mataifa ameidhihirisha haki yake
K. Bwana ameufunua wokovu wake machoni pa mataifa
Miisho yote ya dunia imeuona wokovu wa Mungu wetu,
Mshangilieni Bwana, nchi yote. Inueni sauti, imbeni kwa furaha
K. Bwana ameufunua wokovu wake machoni pa mataifa
Somo la Pili
2 Tim 2:8-13Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 10:27Kondoo wangu waisikia sauti yangu, asema Bwana: Nami nawajua nao wanifuata.
Aleluya
Injili
Lk 17:11-19Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni