Jumamosi ya 27 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Gal 3:22-29Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 105:2-7Bwana analikumbuka agano lake milele.
Mwimbieni, mwimbieni kwa zaburi,
Zitafakarini ajabu zake zote.
Jisifuni kwa jina lake takatifu,
Na ufurahi moyo wao wamtafutao Bwana.
K. Bwana analikumbuka agano lake milele.
Mtakeni Bwana na nguvu zake,
Utafuteni uso wake sikuzote.
Zikumbukeni ajabu zake alizozifanya,
Miujiza yake na hukumu za kinywa chake.
K. Bwana analikumbuka agano lake milele.
Enyi wazao wa Ibrahimu, mtumishi wake;
Enyi wana wa Yakobo, wateule wake.
Yeye, Bwana, ndiye Mungu wetu;
Duniani mwote mna hukumu zake.
K. Bwana analikumbuka agano lake milele.
Injili
Lk 11:27-28Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni