Jumamosi ya 3 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Ebr 11:1–2, 8–19Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Lk 1:69–75Atukuzwe Bwana, Mungu wa Israeli, kwa kuwa amewajia watu wake.
Ametusimamishia pembe ya wokovu
Katika mlango wa Daudi mtumishi wake.
Kama alivyosema tangu mwanzo
Kwa kinywa cha manabii wake watakatifu.
K. Atukuzwe Bwana, Mungu wa Israeli, kwa kuwa amewajia watu wake.
Tuokolewe na adui zetu
Na mikononi mwao wote wanaotuchukia:
Ili kuwatendea rehema baba zetu,
Na kulikumbuka agano lake takatifu.
K. Atukuzwe Bwana, Mungu wa Israeli, kwa kuwa amewajia watu wake.
Uapo aliomwapia Ibrahimu, baba yetu,
Ya kwamba atatujalia sisi,
Tuokoke mikononi mwa adui zetu,
Na kumwabudu pasipo hofu
Kwa utakatifu na kwa haki
Mbele zake siku zetu zote.
K. Atukuzwe Bwana, Mungu wa Israeli, kwa kuwa amewajia watu wake.
Shangilio la Injili
Yn 14:23Mtu akinipenda, atalishika neno langu, na baba yangu atampenda, na sisi tutakuja kwake.
Aleluya.
Injili
Mk 4:35-41Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni