Dominika ya 5 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Isa 6:1-2a, 3-8Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 138:1-5, 7-8Ee Bwana, Mbele ya miungu nitakuimbia zaburi.
Nitakushukuru kwa moyo wangu wote,
Mbele ya miungu nitakuimbia zaburi.
Nitasujudu nikilikabili hekalu lako takatifu,
Nitalishukuru jina lako,
K. Ee Bwana, Mbele ya miungu nitakuimbia zaburi.
Nitalishukuru jina lako,
Kwa ajili ya fadhili zako na uaminifu wako,
Kwa maana umeikuza ahadi yako, Kuliko jina lako lote.
Siku ile niliyokuita uliniitikia,
Ukanifariji nafsi kwa kunitia nguvu.
K. Ee Bwana, Mbele ya miungu nitakuimbia zaburi.
Ee Bwana, wafalme wote wa dunia watakushukuru,
Watakapoyasikia maneno ya kinywa chako.
Naam, wataziimba njia za Bwana,
Kwa maana utukufu wa Bwana ni mkuu.
K. Ee Bwana, Mbele ya miungu nitakuimbia zaburi.
Nijapokwenda kati ya shida utanihuisha,
Utanyosha mkono juu ya hasira ya adui zangu,
Na mkono wako wa kuume utaniokoa.
Bwana atanitimilizia mambo yangu;
Ee Bwana, fadhili zako ni za milele;
Usiziache kazi za mikono yako.
K. Ee Bwana, Mbele ya miungu nitakuimbia zaburi.
Somo la Pili
1Kor 15:1-11Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Mt 8:17Aliutwaa udhaifu wetu na kuyachukua magonjwa yetu.
Aleluya
Injili
Lk 5:1-11Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
Gaudence Thaver · 6 Februari 2022
Happy sawa.tumshukuru mungu