Jumanne ya 22 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
1 Kor 2:10-16Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 145:8-14Bwana ni mwenye haki katika njia zake zote.
Bwana ana fadhili, ni mwingi wa huruma,
Si mwepesi wa hasira, ni mwingi wa rehema,
Bwana ni mwema kwa watu wote,
Na rehema zake zi juu ya kazi zake zote.
K. Bwana ni mwenye haki katika njia zake zote.
Ee Bwana, kazi zako zote zitakushukuru,
Na wacha Mungu wako watakuhimidi.
Wataunena utukufu wa ufalme wako,
Na kuuhadithia uweza wako.
K. Bwana ni mwenye haki katika njia zake zote.
Ili kuwajulisha watu matendo yake makuu,
Na utukufu wa fahari ya ufalme wake.
Ufalme wako ni ufalme wa zamani zote,
K. Bwana ni mwenye haki katika njia zake zote.
Na mamlaka yako ni ya vizazi vyote.
Bwana huwategemeza wote waangukao,
Huwainua wote walioinama chini.
K. Bwana ni mwenye haki katika njia zake zote.
Shangilio la Injili
Lk 7:16Nabii mkuu ametokea kwetu; na, Mungu amewaangalia watu wake.
Aleluya
Injili
Lk 4:31-37Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni