Ijumaa ya 21 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
1 Kor 1:17-25Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 33:1-2, 4-5, 10-11Bwana anajaza nchi na fadhili zake.
Mpigieni Bwana vigelegele, enyi wenye haki, Kusifu kunawapasa wanyofu wa moyo.
Mshukuruni Bwana kwa kinubi, Kwa kinanda cha nyuzi kumi mwimbieni sifa.
K. Bwana anajaza nchi na fadhili zake.
Kwa kuwa neno la Bwana lina adili, Na kazi yake yote huitenda kwa uaminifu.
Huzipenda haki na hukumu, Nchi imejaa fadhili za Bwana.
K. Bwana anajaza nchi na fadhili zake.
Bwana huyabatilisha mashauri ya mataifa, Huyatangua makusudi ya watu.
Shauri la Bwana lasimama milele, Makusudi ya moyo wake vizazi na vizazi.
K. Bwana anajaza nchi na fadhili zake.
Shangilio la Injili
Lk 21:36Basi, kesheni ninyi kila wakati, mkiomba, ili mpate kuokoka katika haya yote yatakayotokea, na kusimama mbele za Mwana wa Adamu.
Aleluya
Injili
Mt 25:1-13Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni