Jumanne ya 18 ya mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Yer. 30:1 – 2, 12 -15, 18 – 22Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 102: 15 – 20, 28, 21 – 22Bwana atakao kuwa ameijenga Sayuni, atakapoonekana katika utukufu wake.
Kisha mataifa wataliogopa jina la Bwana,
Na wafalme wote wa dunia utukufu wako;
Bwana atakapokuwa ameijenga Sayuni,
Atakapoonekana katika utukufu wake,
Atakapoyaelekea maombi yake aliye mkiwa,
Asiyadharau maombi yao.
K. Bwana atakao kuwa ameijenga Sayuni, atakapoonekana katika utukufu wake.
Kizazi kitakachokuja kitaandikiwa hayo,
Na watu watakaoumbwa watamsifu Bwana.
Maana ametazama toka patakatifu pake pa juu,
Toka mbinguni Bwana ameiangalia nchi,
Ili akusikie kuugua kwake aliyefungwa,
Na kuwafungua walioandikiwa kufa.
K. Bwana atakao kuwa ameijenga Sayuni, atakapoonekana katika utukufu wake.
Wana wa watumishi wako watakaa,
Na wazao wao wataimarishwa mbele zako.
Watu walitangaze jina la Bwana katika Sayuni,
Na sifa zake katika Yerusalemu,
Pindi mataifa watakapokusanyika pamoja,
Falme nazo ili kumtumikia Bwana.
K. Bwana atakao kuwa ameijenga Sayuni, atakapoonekana katika utukufu wake.
Shangilio la Injili
Zab. 27:11Ee Bwana, unifundishe njia yako, na kuniongoza katika njia iliyonyoka.
Aleluya.
Injili
Mt. 14:22 – 36Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni