Kumbukumbu ya Mt. Yustini, Mfiadini
· Mwaka A · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
2Pet 1:2-7Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 91:1-2, 14-16Mungu wangu ninakutumaini.
Aketiye mahali pa siri pake Aliye juu
Atakaa katika uvuli wake Mwenyezi.
Nitasema, Bwana ndiye kimbilio langu na ngome yangu,
Mungu wangu nitakayemtumaini.
K. Mungu wangu ninakutumaini.
Mwana-simba na joka utawaseta kwa miguu.
Kwa kuwa amekaza kunipenda
Nitamwokoa; na kumweka palipo juu, kw akuwa amenijua jina langu.
Ataniita nami nitamwitikia.
K. Mungu wangu ninakutumaini.
Nitakuwa pamoja naye taabuni,
Nitamwokoa na kumtukuza;
Kwa siku nyingi nitamshibisha,
Nami nitamwonyesha wokovu wangu.
K. Mungu wangu ninakutumaini.
Shangilio la Injili
Zab 130:5Roho yangu inamngoja Bwana, na neno lake nimelitumainia.
Aleluya.
Injili
Mk 12:1-12Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni