Jumatano ya 7 ya Pasaka
· Mwaka A · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mdo 20:28-38Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 68:28-29, 32-35Enyi falme za dunia, mwimbieni Mungu.
Ee Mungu, uziamuru nguvu zako;
Ee Mungu, uwe hodari uliyetufanyia makuu.
Kwa ajili ya hekalu lako Yerusalemu Wafalme watakuletea hedaya.
K. Enyi falme za dunia, mwimbieni Mungu.
Enyi falme za dunia, mwimbieni Mungu,
Msifuni Bwana kwa nyimbo.
Apandaye mbingu za mbingu za tangu milele;
Aitoa sauti yake, sauti ya nguvu.
Mhesabieni Mungu nguvu;
K. Enyi falme za dunia, mwimbieni Mungu.
Enzi yake i juu ya Israeli;
Na nguvu zake zi mawinguni.
Mungu ni mwenye kutisha Kutoka patakatifu pako.
Ndiye Mungu wa Israeli;
Yeye huwapa watu wake nguvu na uwezo.
Na ahimidiwe Mungu.
K. Enyi falme za dunia, mwimbieni Mungu.
Injili
Yn 17:11-19Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni