Jumanne ya 11 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
1 Fal 21:17-29Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 51:1-4, 9, 15Ee Mungu, unirehemu, Sawasawa na fadhili zako.
Kiasi cha wingi wa rehema zako, Uyafute makosa yangu.
Unioshe kabisa na uovu wangu, Unitakase dhambi zangu.
(K)Ee Mungu uturehemu uyafute makosa yetu
Maana nimejua mimi makosa yangu Na dhambi yangu i mbele yangu daima.
Nimekutenda dhambi Wewe peke yako, Na kufanya maovu mbele za macho yako.
Wewe ujulikane kuwa una haki unenapo, Na kuwa safi utoapo hukumu.
(K)Ee Mungu uturehemu uyafute makosa yetu
Usitiri uso wako usitazame dhambi zangu; Uzifute hatia zangu zote.
Ee Bwana, uifumbue midomo yangu, Na kinywa changu kitazinena sifa zako.
(K)Ee Mungu uturehemu uyafute makosa yetu
Shangilio la Injili
Yn 13:34Amri mpya nawapa, Mpendane. Kama vile nilivyowapenda ninyi, nanyi mpendane vivyo hivyo.
Aleluya
Injili
Mt 5:43-48Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni