Sherehe ya Moyo Mtakatifu wa Yesu
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Eze 34:11-16Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 23Bwana ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu.
Katika malisho ya majani mabichi hunilaza, Kando ya maji ya utulivu huniongoza.
Hunihuisha nafsi yangu;
(K)Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu
Na kuniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake.
Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, Sitaogopa mabaya;
Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.
(K)Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu
Waandaa meza mbele yangu, Machoni pa watesi wangu.
Umenipaka mafuta kichwani pangu, Na kikombe changu kinafurika.
(K)Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu
Hakika wema na fadhili zitanifuata Siku zote za maisha yangu;
Nami nitakaa nyumbani mwa Bwana milele.
(K)Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu
Somo la Pili
Rum 5:5-11Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Mt 11:29abJitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo;
Aleluya
Injili
Lk 15:3-7Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni