Alhamisi ya 9 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
2 June 2016Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 25: 4-5, 8-10, 14Ee Bwana, unijulishe njia zako
Ee Bwana, unijulishe njia zako, Unifundishe mapito yako,
Uniongoze katika kweli yako, Na kunifundisha. Maana Wewe ndiwe Mungu wa wokovu wangu,
K. Ee Bwana, unijulishe njia zako
Bwana yu mwema, mwenye adili, Kwa hiyo atawafundisha wenye dhambi njia.
Wenye upole atawaongoza katika hukumu, Wenye upole atawafundisha njia yake.
K. Ee Bwana, unijulishe njia zako
Njia zote za Bwana ni fadhili na kweli, Kwao walishikao agano lake na shuhuda zake.
Siri ya Bwana iko kwao wamchao, Naye atawajulisha agano lake.
K. Ee Bwana, unijulishe njia zako
Shangilio la Injili
2Tim 1:10Mwokozi wetu Kristo Yesu; aliyebatili mauti, na kuufunua uzima na kutokuharibika, kwa ile Injili;
Aleluya
Injili
Mk 12:28-34Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni