Jumatano ya 21 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
1The 2:9-13Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 139:7-12Ee Bwana umenichunguza na kunijua.
Niende wapi nijiepushe na roho yako?
Niende wapi niukimbie uso wako?
Kama ningepanda mbinguni, Wewe uko;
Ningefanya kuzimu kitanda changu, Wewe uko.
K. Ee Bwana umenichunguza na kunijua.
Ningezitwaa mbawa za asubuhi,
Na kukaa pande za mwisho za bahari;
Huko nako mkono wako utaniongoza,
Na mkono wako wa kuume utanishika.
K. Ee Bwana umenichunguza na kunijua.
Kama nikisema, Hakika giza litanifunika,
Na nuru inizungukayo ingekuwa usiku;
Giza nalo halikufichi kitu,
Bali usiku huangaza kama mchana;
K. Ee Bwana umenichunguza na kunijua.
Injili
Mt 23:27-32Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni