Sikukuu ya Mt. Yakobo, Mtume
· Mwaka C
Somo la Kwanza
2Kor 4:7-15Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 126Wapandao kwa machozi watavuna kwa kelele za furaha.
Bwana alipowarejeza mateka wa Sayuni,
Tulikuwa kama waotao ndoto.
Ndipo kinywa chetu kilipojaa kicheko,
Na ulimi wetu kelele za furaha.
K. Wapandao kwa machozi watavuna kwa kelele za furaha.
Ndipo waliposema katika mataifa,
Bwana amewatendea mambo makuu.
Bwana alitutendea mambo makuu,
Tulikuwa tukifurahi.
K. Wapandao kwa machozi watavuna kwa kelele za furaha.
Ee Bwana, uwarejeze watu wetu waliofungwa,
Kama vijito vya Kusini.
Wapandao kwa machozi
Watavuna kwa kelele za furaha.
K. Wapandao kwa machozi watavuna kwa kelele za furaha.
Ingawa mtu anakwenda zake akilia,
Azichukuapo mbegu za kupanda.
Hakika atarudi kwa kelele za furaha,
Aichukuapo miganda yake.
K. Wapandao kwa machozi watavuna kwa kelele za furaha.
Shangilio la Injili
Yn 15:16Ni mimi niliyewachagua ninyi nikawaweka mwende mkazae matunda, na matunda yenu yapate kukaa, asema Bwana.
Aleluya.
Injili
Mt 20:20-28Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni