Kumbukumbu ya Mt. Bonaventure, Askofu na Mwalimu w
· Mwaka C · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Kut 1:8-14,22Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 124Msaade wetu u katika jina la Bwana.
Kama si Bwana aliyekuwa pamoja nasi,
Israeli na aseme sasa,
Kama si Bwana aliyekuwa pamoja nasi
wanadamu walipotushambulia.
Papo hapo wangalitumeza hai,
Hasira yao ilipowaka juu yetu.
K. Msaade wetu u katika jina la Bwana.
Papo hapo maji yangalitugharikisha,
Mto ungalipita juu ya roho zetu.
Papo hapo yangalipita juu ya nafsi zetu
Maji yafurikayo.
K. Msaade wetu u katika jina la Bwana.
Na ahimidiwe Bwana:
Asiyetutoa kuwa mawindo kwa meno hayo.
Nafsi yetu imeokoka kama ndege
Katika mtego wa wawindaji,
Mtego umevunjika, nasi tumeokoka.
K. Msaade wetu u katika jina la Bwana.
Shangilio la Injili
1 Sam. 3:9 Yn. 6:68Nena Bwana, kwa kuwa mtumishi wako anasikia: wewe unayo maneno ya uzima wa milele.
Aleluya.
Injili
Mt. 10:34 - 11:lInjili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni